Kudhibiti akaunti yako ya LG
Unaweza kudhibiti maelezo ya akaunti yako ya LG.
-
Bonyeza kitufe cha
katika kithibiti cha mbali na uchague
upande wa juu kulia.
-
Enda kwa
Jumla Usimamizi wa Akaunti ili uingie.
- Aridhio ya kibinafsi
-
Unaweza kuangalia au kuhariri maelezo yako ya akaunti ambayo umeingia kwa sasa.
Unaweza kubadilisha nywila au ubonyeze HARIRI ili kuhariri maelezo yako ya kibinafsi.
Kipengee hiki kinapatikana katika baadhi ya nchi pekee.