Inasakinisha programu
Unaweza kusakinisha programu mbalimbali kwenye TV yako kutoka LG Content Store.
-
Bonyeza kitufe cha
katika kidhibiti cha mbali.
- Inaanzisha LG Content Store.
-
Chagua kategoria ya PROGRAMU iliyoonyeshwa juu ya skrini.
Orodha ya programu zinazopatikana katika kategoria iliyochaguliwa itaonyeshwa. - Chagua programu ya kusanidi kutoka kwenye orodha.
- Soma maelezo kuhusu programu kisha ubonyeze sakinisha.
- Ikimaliza kusakinisha, unaweza kutumia programu mara moja.
Kategoria zilizopo zinaweza kutofautiana kutegemea nchi na hali ya huduma.
Kama hifadhi katika televisheni yako haitoshi, unaweza kusakinisha programu kwa kuiunganisha na kifaa cha hifadhi ya nje.
Baadhi ya vifaa vya hifadhi vya USB huenda havitumiki au huenda havifanyi kazi vizuri.
Hifadhi ya USB iliyo na programu kutoka TV zingine huenda isitumike.
Unaweza kufuta programu ulizopakua katika ya kipengele PROGRAMU programu zangu.
Unatazama Maudhui ya VOD
Unaweza kufurahia drama, filamu, na zaidi kwa kuzitazama wakati halisi zinapotendeka.
-
Bonyeza kitufe cha
katika kidhibiti cha mbali.
- Inaanzisha LG Content Store.
-
Chagua kategoria unayopendelea kutokana na kategoria zilizoonyeshwa juu ya skrini, kama vile Vipindi vya TV na Sinema.
Orodha ya maudhui yanayopatikana katika kategoria iliyochaguliwa itaonyeshwa. - Chagua kipengee kutoka kwenye orodha.
-
Unaweza kucheza maudhui unayoyapendelea.
Huenda programu inahitajika ili kuweza kucheza maudhui. Kama haijasakinishwa, sakinisha programu ili ucheze maudhui.
Kipengee hiki kinapatikana katika baadhi ya nchi pekee.
Kategoria zilizopo zinaweza kutofautiana kutegemea nchi na hali ya huduma.
Ili uone maelezo ya kina kuhudu maudhui, chagua mada kwenye katika sehemu ya chini na eneo la
.
.