Kutumia LG Content Store
Unaweza kutafuta haraka na kwa starehe zako Vipindi vya TV, Sinema, na zaidi ili uzitazame mara moja.
Unaweza pia kupakua na kutumia programu kutoka kategoria mbalimbali kama elimu, burudani, mitindo, habari na michezo.
-
Bonyeza kitufe cha
katika kidhibiti cha mbali.
- Inaanzisha LG Content Store.
Kipengee hiki kinapatikana katika baadhi ya nchi pekee.
Vipengee vinaweza kuwa vinapatikana katika baadhi ya nchi pekee.
Maudhui yanaweza kutofautiana kutegemea modeli na nchi.
Kuwa mwangalifu wakati ukurasa unapotumiwa na watoto. Watoto waanaweza kufikia maudhui yasiyofaa mtandaoni kupitia bidhaa hii.
Unaweza kuzuia maudhui ya mtandaoni yasiyofaa kwa kudhibiti ufikiaji kwenye baadahi ya programu.
Snidi mipangilio katika
Usalama Makufuli ya Programu.
Snidi mipangilio katika
Usalama Makufuli ya Programu.
Maudhui Yanayopendekezwa kwenye Skrini Kuu
Unaweza kuangalia mapendekezo ya maudhui na programu maarufu zaidi katika kila kikundi kwenye skrini kuu ya LG Content Store.
Chagua sehemu ya maudhui ya kutazama, au uchague programu ya kuipakua.
Kipengee hiki kinapatikana katika baadhi ya nchi pekee.
Muunganisho wa Intaneti unahitajika ili kutumia kipengee hiki.