Tafutiza
Tafutiza hukuruhusu kutafuta na kutumia maudhui na habari mbalimbali.
Unaweza kutafuta faili za picha, video na muziki.
Unaweza kutafuta faili za picha, video na muziki.
-
Bonyeza kitufe cha
katika kidhibiti cha mbali.
-
Inaanzisha
.
- Tafuta aina mbalimbali za maudhui na habari kwa kutumia maneno yafaayo ya utafutaji.
-
Unaweza kuingiza maneno ya kutafuta kwa kutamka.
Ili kuona maelezo, bofya Jinsi ya Kuendesha TV Sauti kuwa Matini katika Mwongozo wa Mtumiaji. - Ingiza neno unalotafuta.
- Badilisha mipangilio ya vipengee vilivyotolewa na Tafutiza.
- Tok kwenye Tafuta.
Unaweza kutafuta maudhui kwa kubonyeza kitufe cha
.
.
Baadhi ya programu huwa na kipengee ambacho huruhusu kutafuta katika televisheni yako. Kama utafanya utafutaji kwenye programu kama hizo, utafutaji utafanyika katika Tafutiza.
Matokeo ya utafutaji pia yanaweza kutofautiana kutegemea kituo, eneo, lugha, mipangilio ya mtandao na kama umekubaliana na sheria na masharti.