Inaweka Kidhibiti cha Jumla
Unaweza kutumia Kidhibiti Mbali Mahiri kudhibiti visanduku vya dekoda, vichezaji vya Blu-ray, mifumo ya kuchezea muziki nyumbani, nk.
- Hakikisha kuwa kifaa unachotaka kuweka kimeunganishwa na televisheni yako.
-
Bonyeza kitufe cha
katika kithibiti cha mbali na uchague
upande wa juu kulia.
(Bonyeza kitufe cha
katika kidhibiti cha mbali.)
- Chagua Maingizo Yote kisha uende kwenye Maingizo.
- Chagua mkondo wa kuingiza maudhui ambapo kifaa kimeunganishwa katika Maingizo.
- Ikiwa utabonyeza Anzisha Vidhibiti Kamili, unaweza kusanidi Kidhibiti chako cha Jumla. Fuata maagizo yaliyo kwenye skrini ili umalize usanidi.
Ikiwa unataka kubadilisha au kughairi Mipangilio ya Kidhibiti cha Jumla, enda kwa
Maingizo Yote na uchague Hariri Udhibiti Kamili.
Maingizo Yote na uchague Hariri Udhibiti Kamili.
Pia unaweza kuweka Kidhibiti cha Jumla katika
KIUNGANISHI CHA KIFAA.
KIUNGANISHI CHA KIFAA.
Kipengee hiki kinaweza kutumiwa tu na Kidhibiti Mbali Mahiri.
Unaweza kununua Kidhibiti Mbali Mahiri kando ikiwa haikujumuishwa.
Kipengee hiki kinapatikana katika baadhi ya nchi pekee.
Wakati unapobadilisha mipangilio, unapaswa kuhakikisha kwamba kifaa unachobadilishia mipangilio yenyewe kimewashwa.
Unaweza kuweka kifaa kimoja kwa kila aina.
Kama utaunganisha kwenye mtandao kabla ya kuweka Kidhibiti cha Jumla, sasisho la hivi karibuni kwa orodha ya mtengenezaji inayotumika litapatikana.
Huenda baadhi ya vitufe visifanye kazi kutegemea modeli ya kifaa cha nje.
Weka kifaa karibu na televisheni kwa utendaji usiovurugika kwa vyovyote.
Kama kuna kitu kinachozuia mbele ya kifaa, huenda hakitapokea mawimbi inavyofaa.
Ikiwa kifaa kiko ndani ya droo, ifungue.