Kutumia padi ya michezo
Unganisha padi yako ya michezo katika shimo la USB lililo katika televisheni yako ikiwa mchezo unahitaji padi ya michezo.
Inapendekezwa kwamba utumie padi yako ya michezo ambayo imefanyiwa majaribio kuhakikisha inaingiliana na televisheni za LG.
LOGITECH F310, LOGITECH F510, LOGITECH F710, LOGITECH Rumblepad 2, LOGITECH Cordless Rumblepad 2, LOGITECH Dual Action Gamepad, MICROSOFT Xbox 360 Controller (cable), SONY Playstation(R)3 Controller
LOGITECH F310, LOGITECH F510, LOGITECH F710, LOGITECH Rumblepad 2, LOGITECH Cordless Rumblepad 2, LOGITECH Dual Action Gamepad, MICROSOFT Xbox 360 Controller (cable), SONY Playstation(R)3 Controller