Kusasisha Programu
Hutumia sasisho la programu kuangalia na kupata matoleo y hivi karibuni.
Inawezekana pia kujiangalilia mwenyewe uwepo wa sasisho.
Inawezekana pia kujiangalilia mwenyewe uwepo wa sasisho.
- ANGALIA KAMA KUNA SASISHO
-
Jumla
Kuhusu TV Hii
Kagua masasisho
Wakati wa,kuangalia toleo la hivi karibuni la sasisho, unaweza kusasisha tu wakati faili ya sasisho la hivi karibuni inapatikana.Televisheni huangalia kiotomatiki toleo la programu zako lakini ikibidi, unaweza kujiangalilia mwenyewe. - Sasisho la kiotomatiki bila kuarifiwa
-
Jumla
Kuhusu TV Hii
Ruhusu Masasisho Kiotomatiki
Kama Ruhusu Masasisho Kiotomatiki imechaguliwa wakati sasisho linapatikana, sasisho huanza kitomatiki bila swali lolote kuulizwa.Kama Ruhusu Masasisho Kiotomatiki haijachaguliwa wakati sasisho linapatikana, sasisho litaanza baada ya swali kuulizwa.
Vipengee vya kusanidiwa hutofautiana kutegemea nchi.
Toleo la hivi karibuni linaweza kupatikana kupitia ishara za matangazo ya kidijitali au kupitia miunganisho ya Intaneti.
Kubadilisha kituo wakati unapopakua programu kupitia ishara ya utangazaji wa kidijitali hutatiza mchakato wa kupakua. Kurejea kwenye kituo ca awali huruhusu upakuaji kuendelea.
Kama programu haijasasishwa, baadhi ya utendaji huenda usifanye kazi vyema.
Katika baadhi ya nchi, Ruhusu Masasisho Kiotomatiki haionyeshwi ikiwa hujaunganisha kwenye Intaneti.