Kutumia KIUNGO MAGIC
Inakupa video kadhaa na maelezo ya vipindi unavyotazama kwa sasa.
-
Bonyeza kitufe cha au usogeze kiashiria kwenda upande wa juu wa skrini.
Bango la Kituo litaonekana.
- Bonyeza kitufe cha KIUNGO MAGIC katika Bango la Kituo.
-
Maelezo mbalimbali yanayohusiana na kipindi unachotazama yataonekana katika sehemu ya chini ya skrini.
Chagua maelezo unayotaka.
Kipengee hiki kinapatikana katika baadhi ya nchi pekee.
Kiasi cha kutafuta kinaweza kuwa tofauti kulingana na nchi.
Wakati KIUNGO MAGIC inatumika, maudhui yaliyowekwa yanaweza kukosa kulingana na kipindi unachotazama kwa wakati ule.
Badilisha kituo kwa kutumia kidhibiti cha mbali cha Magic kabla ya kutumia KIUNGO MAGIC.
Baadhi ya vituo vya watu wazima pekee au vituo vilivyofungiwa haviwezi kutumia kipengele hiki.
Matokeo ya utafutaji yanaweza kuwa tofauti kulingana na maelezo yaliyowekwa kwenye kipindi unachotazama.