Kutumia Music Catch
Ni kipengele unachoweza kutumia kurekodi muziki kutoka kwenye TV wakati wowote.
  1. Wakati unatazama matangazo ya moja kwa moja, bonyeza Kigurudumu (OK) kitufe cha.
  2. Bonyeza kitufe cha Anza KurekodiAnza Kurekodi upande wa juu kushoto kwenye skrini yako.
  3. Bonyeza kitufe cha ANZA KUREKODI MUZIKI.

Skrini ya Music CatchSkrini ya Music Catch

Chagua kifaa kitakachotumika kurekodi muziki wakati USB HDD imeunganishwa kwenye TV.
Kama hakuna nafasi ya kutosha kwenye kifaa cha USB HDD, huenda Music Catch isifanye kazi vizuri. Ili kutumia kipengele cha Music Catch, unahitaji USB HDD yenye angalau MB 100.
Faili zilizohifadhiwa zinaweza kuangaliwa kwenye programu ya Muziki, na unaweza kuzifungua kwenye Kompyuta au vifaa vya mkononi.
Faili zilizorekodiwa zitahifadhiwa katika muundo wa aac au mp3. (Muundo wa kuhifadhi unabadilika kwa kutegemea modeli ya TV.)
Ukibadilisha programu au ingizo wakati wa kurekodi, kurekodi kutasimamishwa kiotomatiki na faili zilizorekodiwa zitahifadhiwa.
Inapatikana kwa matangazo ya analogi pekee.
Ukitumia kipengele cha Music Catch, unaweza kucheza muziki kwa hadi saa mbili.
Kipengee hiki kinapatikana katika baadhi ya nchi pekee.