Kutumia IDHAA ZANGU
Ongeza idhaa unazotazama mara kwa mara kwenye IDHAA ZANGU ili uangalie vipindi vinavyoonyeshwa kwenye idhaa hizo popote ulipo na uende kwenye idhaa hiyo mara moja kwa kuichagua.
Kuongeza Kituo
  1. Bonyeza kitufe cha MWANZOMWANZO katika kidhibiti cha mbali.
  2. Chagua IDHAA ZANGU katika sehemu ya chini kushoto ya skrini.
  3. Kuchagua Ongeza Idhaa kutaonesha orodha ya vituo. Chagua kituo unachotaka kuongeza kutoka kwenye orodha ya vituo.
    Unaweza kuendelea kuongeza vituo vingine kwenye IDHAA ZANGU vile vile.

    Ongeza Kituo ChanguOngeza Kituo Changu

Ukichagua kituo ambacho tayari kimeongezwa kwenye IDHAA ZANGU, unaweza kufikia kituo hicho katika programu zingine pia.
Unaweza kuhamisha / kufuta vituo vilivyoongezwa jinsi unavyofanya ukidhibiti programu.
Kwa maelezo zaidi, angalia Kuhusu TV ya LG webOS Mafundisho ya Kufanyia Nyumbani katika Mwongozo wa Mtumiaji.