Kudhibiti Maudhui yaliyorekodiwa
Unaweza kuangalia na kucheza maudhui yaliyorekodiwa na kuwekwa kwenye vifaa vya kuhifadhi kwa kutumia programu ya Rekodi.
-
Bonyeza kitufe cha
katika kidhibiti cha mbali.
- Endesha programu ya Rekodi.
- Chagua kifaa cha kuhifadhi utakachotumia, aina ya maudhui yaliyorekodiwa na njia ya kuzibainisha.
- Chagua na ufute maudhui unayoyataka.
-
Onesha maelezo kamili kuhusu maudhui.
Unaweza kubadilisha kichwa cha maudhui katika kidirisha ibukizi chenye maelezo. - Fungua Tafutiza.
Unaweza tu kucheza rekodi zilizoandaliwa kwenye TV unayotazama sasa katika Rekodi.
Kucheza Maudhui yaliyorekodiwa
Unaweza kufikia na kuendesha vipengele kama vile kucheza tena na kusimamisha kwenye skrini ya kucheza tena.
- Chagua maudhui yaliyorekodiwa unayoyataka kutoka kwenye Rekodi programu ya.
- Unaweza kudhibiti uchezaji tena wa maudhui uliyorekodi kwa kubonyeza kitufe cha wakati wa kucheza tena.
- Unaweza kuendesha vipengele vinavyohusiana na kucheza tena.
-
Kwa kukuza kionyesho cha TV, unaweza kuangalia picha kwa kiwango kikubwa zaidi ya kiwango halisi.
Kwa maelezo zaidi, angalia Manufaa ya TV Inayoweza Kuunganishwa kwenye Intaneti Kupanua Skrini ya TV katika Mwongozo wa Mtumiaji. - Kufanya hivi kunakuhamisha hadi kwenye skrini ambapo unaweza kuweka vipengele vya ziada.
Kuweka Vipengele vya Ziada
Unaweza kuweka Rudi A-B, Manukuu Yaliyofungwa, n.k.
- Bonyeza kitufe cha wakati unapocheza tena maudhui unayoyataka yaliyorekodiwa.
-
Chagua
kwenye skrini.
- Taja sehemu unayotaka irudiwe ili uione au ubadilishe na uhifadhi.
- Chagua lugha ya sauti inayoweza kutolewa.
- Washa au uzime manukuu yaliyofungwa.
-
Unaweza kuweka utendaji wa endelea kutazama ili uendelee kutazama kutoka ulipoachia.
Televisheni inpowashwa kwa kutumia Anza Haraka+, utendaji endelea kutazama huenda usiwezekane mara moja.
-
Unaweza kuweka urudiaji wa usiokoma.
Kama urudiaji wa kuendelea utawekwa, video inayofuta itachezwa kiotomatiki baada ya video iliyokuwa ikirudiwa kumalizika. - Hurejea kwenye skrini ya utendaji wa kawaida.
Vipengee vya kusanidiwa hutofautiana kutegemea nchi.