Kutumia Kiratibishi
Unaweza kuweka saa au tarehe ya kipindi ili uratibu kutazama au kukirekodi katika wakati uliobainishwa.
-
Bonyeza kitufe cha
katika kidhibiti cha mbali.
- Chagua programu ya Kiratibishi ili urekodi au utazame ratiba ya kipindi.
- Unaweza kupanga orodha.
- Unaweza kuweka Hali ya Kufuta.
- Unaweza kuweka Ratiba Mpya ya Maudhui Yatakayorekodiwa.
- Unaweza kuweka Kikumbusho Kipya.
- Fungua Mwongozo wa TV.
Panga kulingana na kipndi
Unaweza kuchagua kipindi cha kuratibiwa ili ukitazame au ukirekodi.
-
Bonyeza kitufe cha
katika kidhibiti cha mbali.
- Chagua programu ya Mwongozo wa TV ili urekodi au utazame ratiba ya kipindi.
-
Chagua kipindi unachotaka.
Kama unataka kurekodi kipindi kinachoendelea moja kwa moja, bofya kitufe cha REKODI au TAZAMA.
Ikiwa ni kipindi kijacho, bofya kitufe cha Kurekodi Kulikoratibiwa or Kumbusho.
Kurekodi kulikoratibiwa haihakikishi kuwa maudhui yatarekodiwa wakati ulioratibiwa kwa sababu kipindi kitarekodiwa kulingana na maelezo yaliyotolewa na mtangazaji.
Inatumika kwa utangazaji wa dijitali.
Kupanga ratiba Mwenyewe
Unaweza kuchagua tarehe, saa na kituo cha kutazamwa au kurekodi vituo hivyo.
-
Bonyeza kitufe cha
katika kidhibiti cha mbali.
- Chagua programu ya Kiratibishi ili urekodi au utazame ratiba ya kipindi.
- Weka tarehe, saa na kipindi utakachorekodi au kutazama.
Urefu wa maudhui yanayorekodiwa unafaa kuwa angalau dakika 1.