Mwongozo wa kutazama
Unaweza kutazama vipindi na ratiba ya kila kipindi.
  1. Bonyeza kitufe cha MWANZOMWANZO katika kidhibiti cha mbali.
  2. Unaweza kuanzisha programu ya Mwongozo wa TV.

Orodha ya VipindiOrodha ya Vipindi

  1. Idhaa : Angalia orodha ya maudhui ambayo yanatangazwa kwa sasa.
  2. Inapendekezwa : Pata mapendekezo ya vituo na programu kulingana na historia yako ya utazamaji.
  3. Unaweza kuangalia maelezo kuhusu kipindi unachotazama sasa pamoja na maelezo kuhusu kipindi kilichoangaziwa.
  4. Sasa unaweza kutazama maelezo yaliyo katika idhaa na kitangazaji.
  5. Chagua kitufe cha Tazama MaelezoTazama Maelezo au ya programu unayotaka. Unaweza kuona maelezo zaidi kwenye programu na ufanye majukumu ya TAZAMA / REKODI au Kumbusho / Kurekodi Kulikoratibiwa, n.k.
  6. Utaelekezwa kwenye orodha ya vipindi ya tarehe leo na wakati uliopo.
  7. Unaweza kubadilisha kiasi cha orodha ya vipindi urekebishe orodha ya idhaa zilizoonyeshwa kwenye skrini.
  8. Inaweka kichujio.
  9. Fungua Kiratibishi.
  10. Fungua Kidhibiti cha Idhaa.
  11. Unaweza kuwasha / kuzima televisheni Ndogo.
Maelezo ya vipindi hayaonyeshwi kwa idhaa zisizo na maelezo ya utangazaji.
Baada ya kuweka mipangilio ya mtandao na vituo, unaweza kuangalia historia ya matangazo ya awali na kutazama video unapotaka. (Inatumika Uingereza pekee.)
Kipengee hiki kinapatikana katika baadhi ya nchi pekee.
Vipengee vya kusanidiwa hutofautiana kutegemea modeli na nchi.