Menyu ya Vipofu
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Ufikivu Maelezo ya Sauti
Maudhui yaliyo kwenye skrini yatafafanuliwa kwa sauti ili kuwasiadia walio na matatizo ya kuona.
Unaweza kutumia kipengele hiki ikiwa kampuni ya utangazaji inatoa huduma za Maelezo ya Sauti kwa wasioona.
Kipengee hiki kinapatikana katika baadhi ya nchi pekee.