Kubadilisha Menyu kuwa Skrini ya Ulinganizi wa Juu
Ufikivu
Ulinganuzi wa hali ya Juu
Kipengee hiki kinapowekwa kuwa Imewashwa, hurekebisha mandharinyuma ya baadhi ya menyu kwenye skrini na rangi za fonti ili kuangazia ulinganuzi kati ya maeneo yenye mwangaza na yasiyo na mwangaza.
Ikiwa Modi ya Picha au Uwiano wa Kipengele zimewekwa katika Mipangilio ya Haraka, athari hii hupumzoshwa kwa muda.