Sasisho la Orodha ya Idhaa
Idhaa
Kitiuni Idhaa & Mipangilio
Sasisho la Orodha ya Idhaa
- Ikiwa modi ya vituo imewekwa kuwa kebo
-
Husasisha maelezo yaliyobadilishwa ya Orodha ya Vituo kutegemea hali za utangazaji wa nchi.
Orodha ya Vituo inaweza kubadiliska baada ya kusasisha. Ili kuzuia hali hii teua Imezimwa. - Ikiwa mipangilio ya vituo imewekwa kuwa Setilaiti
-
Hubadilisha maelezo ya Orodha ya Vituo kulingana na hali za utangazaji katika nchi na setilaiti.
Husasisha Orodha ya Vituo runinga ikizimwa kwa kipindi kirefu. Baada ya sasisho, Orodha ya Vituo inaweza kubadilika. Ili kuzuia hali hii teua Imezimwa. - Ikiwa mipangilio ya vituo imewekwa kuwa Antena
-
Husasisha maelezo yaliyobadilishwa ya Orodha ya Vituo kutegemea hali za utangazaji wa nchi.
Husasisha Orodha ya Vituo wakati runinga imezimwa. Baada ya sasisho, Orodha ya Vituo inaweza kubadilika. Ili kuzuia hali hii teua Imezimwa.
Kipengee hiki kinapatikana katika baadhi ya nchi pekee.