Badilisha Vituo
Unaweza kubadilisha vituo vilivyochaguliwa kutoka kwenye vituo vilivyohifadhiwa au uviongeze / uvifute kutoka kwenye vituo uvipendavyo.
Badiliha Orodha ya Vituo vyote
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Idhaa Kidhibiti cha Idhaa Hariri kwa Idhaa Zote
Unaweza kufunga au kufungua vituo vilivyochaguliwa kutoka kwenye vituo vilivyohifadhiwa au unaweza kuweka mipangilio ya kuviruka unapobadilisha vituo.

Badilisha Vituo VyoteBadilisha Vituo Vyote

  1. Weka chaguo la kupanga.
  2. Funga vituo vilivyochaguliwa au ufungue vituo vilivyofungwa.
  3. Weka vituo vilivyochaguliwa vitakavyorukwa wakati wa kubadilisha vituo, au uzime chaguo la kuruka vituo ambavyo awali vilikuwa vinarukwa.
  4. HamishaHamisha : Hamisha vituo vilivyochaguliwa.
    Badilisha nambariBadilisha nambari : Badilisha nambari za vituo vilivyochaguliwa.
  5. Badilisha nambariBadilisha nambari : Badilisha nambari za vituo vilivyochaguliwa.
    FutaFuta : Futa vituo vyote vilivyochaguliwa.
Vipengele vinavyopatikana vinaweza kubadilika kulingana na ishara ya matangazo.
Kwa modeli aina zinazoweza kutumia vipindi vya setilaiti, unaweza kudhibiti vituo vya setilaiti katika Hariri Idhaa za Setilaiti (za Hali ya Juu).
Badilisha Orodha ya Vituo Uvipendavyo
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Idhaa Kidhibiti cha Idhaa Hariri kuwa Vipendwa
Unaweza kuongeza / kufuta vituo uvitakavyo kuelekea au kutoka kwenye vituo uvipendavyo, ubadilishe nafasi zao n.k.

Badilisha UnavyopendaBadilisha Unavyopenda

  1. Chagua vituo unavyotaka kutoka kwenye orodha ya vipindi vyote na ubonyeze kitufe ili uziongeze kwenye orodha ya vituo uvipendavyo.
  2. Futa vituo vilivyochaguliwa kutoka kwenye orodha ya vituo uvipendavyo.
  3. Chagua vituo viwili kutoka kwenye orodha ya vituo uvipendavyo kisha ubonyeze kitufe ili ubadilishe nafasi zao.
  4. Badilisha jina la orodha uipendayo ya vituo.