Vidakuzi vya Matangazo
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Jumla Vidakuzi vya Matangazo
Kama TV yako ina muunganisho wa intaneti, webOS inaweza kutumia kidakuzi cha kudhibiti marudio ili kufuatilia mara ambazo tangazo linaoneshwa kwenye TV yako.
Maelezo haya yanatumiwa ili kusaidia kupunguza matukio ya kuonyeshwa tangazo moja mara nyingi. Unaweza kufuta kidakuzi hiki, kukiwasha au kukizima wakati wowote kwa kwenda kwenye mipangilio ya Vidakuzi vya Matangazo katika runinga yako.
Hakuna maelezo yanayoweza kufanya ujulikane yanahusishwa na kidakuzi hiki.
Kipengee hiki kinapatikana katika baadhi ya nchi pekee.