Kutumia Hali ya ECO
Jumla
Modi ya Eco
Weka mipangilio ya umeme ili upunguze matumizi ya nishati.
- Kuzima Kiotomatiki
- Ifanye runinga ijizime yenyewe ikiwa itakuwa imekaa kwa muda uliobainisha bila kutumiwa na mtu.
- Modi ya Eco HDD
- Ukiweka modi kuwa Imewashwa, USB HDD iliyounganishwa kwenye runinga yako itaingia katika hali ya kuokoa umeme ikiwa imeachwa kwa muda mrefu bila kushughulikiwa.
Vipengee vya kusanidiwa hutofautiana kutegemea modeli.