Baobonye Pasiwaya ya LG
Jumla
Baobonye Pasiwaya ya LG
Kipengele hiki hukusaidia uunganishe kibodi cha pasi waya ya LG kwenye TV yako.
Washa kifaa, kiweke katika hali ya kuunganisha, kisha ubofye UNGANISHA kwenye skrini ya runinga yako.
Washa kifaa, kiweke katika hali ya kuunganisha, kisha ubofye UNGANISHA kwenye skrini ya runinga yako.
Kibodi inayoweza kutumika
baobonye ya Rolly ya LG
baobonye ya Rolly ya LG
Kama kulikuwa na kibodi ya LG iliyokuwa imeunganishwa pasi waya, itaunganishwa tena kiotomatiki kwenye runinga yako mara baada ya runinga yako kuwaka.
Ili utenganishe muunganisho uliopo, bofya TENGANISHA.
Kipengee hiki kinapatikana katika baadhi ya modeli pekee.