Kuweka Mahali Ulipo
Jumla
Eneo
Unaweza kubadilisha mipangilio ya mahali katika Runinga yako Mahiri.
- Nchi ya Utangazaji
- Unaweza kubainisha nchi ambapo runinga yako inatazamwa.
- Msimbo wa Huduma ya Eneo
- Kipengele hiki hutumika kuweka mahali ambapo runinga yako itakuwa inapotangaza kwa kuweka msimbo wa eneo au nchi.
- Nchi ya Huduma za LG
- Kama hujachagua Weka Kiotomatiki, unaweza kujichagulia nchi mwenyewe.
Ni sharti uweke nchi mwenyewe wakati haujaunganishwa kwenye mtandao.
Vipengee vya kusanidiwa hutofautiana kutegemea nchi.