Kutumia TV ya mkononi imewashwa
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Jumla TV ya mkononi imewashwa
Ikiwa Washa kupitia Wi-Fi au Washa kupitia Bluetooth imewekwa kuwa Imewashwa; unaweza kuwasha runinga yako ukitumia programu inayoweza kutumia TV ya mkononi imewashwa au kuona skrini ya programu hiyo kwenye runinga yako.
Kipengee cha Washa kupitia Wi-Fi sharti kitumike katika programu kwenye kifaa mahiri kinachotumia kipengee chenyewe.
Kipengee cha Washa kupitia Bluetooth kinaweza tu kutumika na baadhi ya simu mahiri za LG Electronics.
Runinga lazima iunganishwe kwenye mtandao.
Runinga lazima iwe imechomekwa kwenye umeme.
Runinga na kifaa unachotumia lazima ziwe katika mtandao sawa.
Ili uunganishe kwa mara ya kwanza, hakikisha kwamba kifaa utakachotumia kiko tayari kuunganishwa.
Kipengee hiki kinapatikana katika baadhi ya modeli au katika baadhi ya nchi pekee.