Mipangilio ya Matumizi ya Umeme
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Jumla Anza Haraka+
Mipangilio hii huiweka runinga yako katika hali ya kutozimika kabisa inapozimwa kwa hivyo itasaidia kuharakisha kutumia vipengee vya runinga haraka inapowashwa tena.
Weka Anza Haraka+ kuwa Imewashwa.
Kipengee hiki kinapatikana katika baadhi ya modeli pekee.
Kuwasha chaguo hili kunaweza kuongeza matumizi ya umeme.