Kuweka Kizimaji cha Kiotomatiki
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Jumla Viweka Muda Kiweka muda wa Kulala
Zima runinga wakati unaobainisha.
Ikiwa hutaki kuteua Kiweka muda wa Kulala, chagua Imezimwa.
Kuwasha au Kuzima Runinga Kiotomatiki
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Jumla Viweka Muda Timer Power On / Kiweka Muda Kimezimwa
Unaweza kuweka muda wa Kuwasha / Kuzima runinga yako.
Kama hutaki kutumia Timer Power On / Kiweka Muda Kimezimwa, chagua Imezimwa.
Ili utumie Timer Power On / Kiweka Muda Kimezimwa weka saa kwa usahihi.
Ili uzuie runinga isizimike kiotomatiki
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Jumla Viweka Muda Kuzima Kiotomatiki kwa Saa 2
Runinga itazimika kiotomatikia usipobonyeza kitufe chochote baada ya dakika 120 tangu wakati TV ilipowashwa kwa kutumia kipengele kama vile Timer Power On.
Ili kuhakikisha kwamba TV haizimiki kiotomatiki weka Kuzima Kiotomatiki kwa Saa 2 iwe Imezimwa.
Kipengee hiki kinapatikana katika baadhi ya nchi pekee.