Kutumia LG Connect Apps
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Mtandao LG Connect
LG Connect ni utendaji unaounganisha programu za vifaa vya simu zinazotumia LG Connect kwenye TV ili zionyeshe picha au muziki kwenye kifaa cha simu au kudhibiti TV.
Weka chaguo la LG Connect liwe Imewashwa. (Unapoacha kuitumia, tafadhali kirejeshe kwenye Imezimwa.)
Kama unataka kutenganisha vifaa vyote vilivyounganishwa na simu yako, bofya Ondoa miunganisho yote kwenye skrini.