Kuweka Mtandao wa Waya
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Mtandao Muunganisho Ulio na Waya (Ethaneti)
TV itajiunganisha kiotomatiki kwenye mtandao mara inapowekewa kebo.
Ili ubadilishe mipangilio ya mtandao, teua HARIRI katika Mipangilio ya Mtandao.