Kuweka Mtandao Pasiwaya
Mtandao
Muunganisho wa Wi-Fi
Kama umeiweka TV yako iweze kutumia mtandao pasiwaya, unaweza kutafuta na kuunganisha kwenye mitandao ya Intaneti inayopatikana.
- Ongeza mtandao fiche pasiwaya
- Unaweza kuongeza mtandao pasiwaya kwa kuweka jina la mtandao moja kwa moja.
- Unganisha kupitia WPS PBC
- Huunganisha kwa urahisi wakati kitufe cha PBC (WPS) cha Lango la Mtandao unaoweza kutumia PBC unapobonyezwa.
- Unganisha kupitia WPS PIN
- Huunganisha kwa urahisi wakati PIN ya Lango la Mtandao pasiwaya unayotaka kutumia imewekwa kwenye ukurasa wa mtandao kuweka mipangilio ya Lango la Mtandao.
- Mipangilio ya kiwango cha juu ya Wi-Fi
- Unaweza kuingia katika mtandao pasiwaya kwa kuweka maelezo ya mtandao moja kwa moja.