Kuweka Jina la Runinga
Mtandao
Jina la TV
Unaweza kutumia kibodi inayojitokeza kwenye skrini kuweka jina ambalo TV mahiri litatumia kwenye mtandao.
Unaweza kuweka hadi herufi 30 ukitumia alfabeti ya Kiingereza.