Kuweka Mipangilio ya Mwonekano wa Skrini
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Picha Mipangilio ya Uwiano wa Kipengele Uwiano wa Kipengele
16:9
Huonyesha uwiano wa 16:9.
Asili
Hubadilisha uwiano wa picha kuwa 4:3 au 16:9 kutegemea yalivyo mawimbi ya video.
4:3
Huonyesha uwiano wa 4:3.
Kuza Wima
Unaweza kubadilisha kipimo cha wima cha skrini au usawazishe mkao wa wima wa skrini ukitumia Rekebisha Uwiano wa Kukuza na Rekebisha Nafasi ya Skrini.
Kuza Pande Zote
Unaweza kurekebisha vipimo vya skrini kwa mlalo / wima / pembe hadi pembe na usawazishe mkao wa mlalo / wima / pembe hadi pembe ukitumia Rekebisha Uwiano wa Kukuza na Rekebisha Nafasi ya Skrini.
Vipengee vya kusanidiwa hutofautiana kutegemea modeli na nchi.
Kutazama maudhui kutoka kwenye kifaa kingine, au kwa muda mrefu, kuwa na maandishi yanayodumu kama vile jina la kipindi au kutumia uwiano wa 4:3 kunaweza kufanya taswira zibaki kwenye skrini.
Kutegemea mawimbi yanayopokelewa, ukubwa wa skrini unaopatikana unaweza kuwa tofauti.
Tazama skrini ukitumia Tambaza Tu
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Picha Mipangilio ya Uwiano wa Kipengele Tambaza Tu
Ukiwasha kipengee hiki Imewashwa, unaweza kuangalia maudhui katika uwiano wa kipengee ulio katika ishara ya tangazo au chanzo cha maudhui. Ikiwa mipaka ya skrini sio safi, tafadhali chagua Imezimwa.
Ikiwekwa katika hali ya Oto, kipengele hutofautiana kati ya hali ya Imewashwa au Imezimwa kutegemea maelezo yaliyo kwenyemawimbi ya video.
Maudhui yanayoweza kuchaguliwa hutofautiana kulingana na nchi.