Ili kutumia kipengele cha Kuokoa Umeme
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Picha Kuhifadhi Nishati
Hupunguza matumizi ya umeme kwa kurekebisha ung’aavu wa skrini ipasavyo.
Oto
Vitambuzi vya runinga hugundua mwangaza uliopo na kurekebisha ung’aavu wa skrini kiotomatiki.
Kipengee hiki kinapatikana katika baadhi ya modeli pekee.
Imezimwa
Huzima kipengele cha Kuokoa Umeme.
Kiwango cha chini / Kati / Kiwango cha juu
Huweka hali chaguo msingi ya Kuokoa Umeme.
Skrini Imezimwa
Skrini huzimwa na sauti pekee kucheza.
Bofya kitufe chochote kisipokuwa cha umeme na vitufe vya sauti ili uruhusu skrini iwake tena.
Kama unatumia kipengele cha Kuhifadhi Nishati ung’aavu wa runinga yako utaathiriwa.