Ili kutumia kipengele cha Modi ya Faraja ya Jicho
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Picha Mipangiilio ya Ziada Modi ya Faraja ya Jicho
Hali-joto ya rangi itarekebishwa ili kupunguza athari zake kwa macho.
Imewashwa
Hali-joto ya rangi ya skrini ya televisheni yako inarekebishwa.
Imezimwa
Huzima Modi ya Faraja ya Jicho.
Kipengee hiki kinapatikana katika baadhi ya modeli pekee.