Chaguo za Mipangilio ya Picha
Picha
Mipangilio ya Modi ya Picha
Machaguo ya Picha
- Upunguzaji wa Kelele
- Huondoa madoadoa ambayo huonekana ili kufanya picha iwe safi zaidi.
- Upunguzaji wa Kelele wa MPEG
- Hupunguza sauti inayotokea wakati wa kuzalisha mawimbi ya video dijitali.
- Kiwango cha Weusi
- Husawazisha ung’aavu na utofautishaji wa taswira kwenye skrini kwa kurekebisha uweusi wa skrini.
- Sinema ya Kweli
- Huleta mwonekano kama wa sinema.
- Utunzaji wa Utumiaji wa Macho
-
Hurekebisha ung’aavu na kupunguza ukungu kulingana na data ya picha hali inayopunguza uumizaji wa macho.
Kufanya hali hii iwe Imezimwa kunaweza kuongeza matumizi ya umeme.
- Kufifiza LED ya ndani
-
Huimarisha uwiano wa utofautishaji kwa kufanya maeneo ya skrini yaliyo na mwanga mwingi kung’aa zaidi na kufanya maeneo yasiyo na mwanga kuwa meusi zaidi.
- Imezimwa : Huzima kipengele cha LED cha Kupunguza Mwanga.
- Chini / Kati / Juu : Hubadilisha uwiano wa utofautishaji.
Kufanya hali hii iwe Imezimwa kunaweza kuongeza matumizi ya umeme. - TruMotion
-
Huimarisha ubora wa picha zinazosogea kwa kasi.
- Imezimwa : Huzima TruMotion.
- Laini : Hufanya picha zinazosonga kwa kasi ziwe laini.
- Wazi : Hufanya picha zinazosogea kwa kasi zionekane vizuri.
-
Mtumiaji
:
Jiwekee TruMotion.
- De-Judder : Hurekebisha kutetemeka kwa picha.
- De-Blur : Hupunguza athari za ukungu kwa picha zinazosonga.
- Motion Pro : Imarisha ubora wa picha zinazokwenda kasi kwa kutumia kidhibiti mwangaza.
Mipangilio ya kina inaweza tu kubadilishwa katika modi ya Mtumiaji.
Chaguo zilizopo zinaweza kuwa tofauti kutegemea chanzo cha mawimbi au hali ya picha iliyochaguliwa.
Vipengee vya kusanidiwa hutofautiana kutegemea modeli.