Kuwasha Makufuli ya Programu
Unaweza kufunga au kufungua programu.
  1. Bonyeza kitufe cha MWANZOMWANZO katika kithibiti cha mbali na uchague Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio upande wa juu kulia.
  2. Chagua Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Usalama.
  3. Weka Usalama kuwa Imewashwa.
  4. Chagua Makufuli ya Programu.
  5. Chagua Programu Unayotaka Kufunga.
Nywila la awali ni “0000”.
Unapochagua nchi ya Ufaransa, nywila halitakuwa “0000” bali “1234”.
Kipengele cha kufunga hakipatikani sasa hivi katika programu inayotumika kwa sasa.