Inabadilisha ulandanishaji wa Sauti na Video
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Sauti Urekebishaji wa Ulandanishi wa AV
Hurekebisha ulandanishaji wa sauti kutoka kwenye spika inayofanya kazi.
Jinsi inavyokaribiana na (+) ndivyo utoaji sauti utakuwa wa mwendo wa pole pole zaidi.
Ukichagua Bypass, mawimbi ya utangazaji au sauti kutoka katika kifaa cha nje itatolewa bila ucheleweshaji. Sauti inaweza kutolewa kabla ya video kwa sababu ya muda unaochukuliwa na runinga kabla ya kutoa video.