Kuruhusu Udhibiti wa Sauti ya Mabadiliko
Sauti
Udhibiti wa Sauti ya Mabadiliko
Boresha sauti kiotomatiki kutegemea aina ya maudhui.
Mipangilio hii inapatikana tu unapotumia Spika za Ndani ya Runinga.
Chagua Imewashwa katika orodha ili uwashe modi hii.
Mipangilio hii inapatikana tu unapotumia Spika za Ndani ya Runinga.
Chagua Imewashwa katika orodha ili uwashe modi hii.
Kipengele hiki kikiwashwa, hutaweza kujibadilishia modi ya Sauti.
Kipengee hiki kinapatikana katika baadhi ya modeli pekee.