Mipangilio ya Sauti ya DTV
Sauti
Mpangilio wa DTV wa Sauti
Kipengele hiki hukuwezesha uchague aina ya sauti unayotaka wakati miundo kadhaa inapopatikana.
Ikiwekwa kwenye Oto utaratibu wa kutafuta ni huu HE-AAC → Dolby Digital Plus → Dolby Digital → MPEG halafu sauti hutolewa katika Aina ya Sauti inayopatikana kwanza.
Mfuatano huu wa kutafuta unaweza kubadilika kutegemea nchi
:
HE-AAC → Dolby Digital Plus → Dolby Digital → MPEG.
Ikiwa Aina ya Sauti uliyochagua haiwezi kutumika, muundo mwingine wa Aina ya Sauti unaweza kutumiwa.
Kipengee hiki kinapatikana katika baadhi ya modeli au katika baadhi ya nchi pekee.