Mipangilio ya Modi ya Sauti
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Sauti Mipangilio ya Modi ya Sauti
Modi ya Sauti
Unaweza kuchagua sauti bora zaidi kwa kila utanzu wa muziki.
Usawa
Unaweza kurekebisha kiwango cha sauti katika spika za kulia na kushoto.
DTS Virtual:X / Zingira Jumla wa Pepe / Zingira la ULTRA / OLED Surround
Furahia sauti maridhawa ukitumia hali ya sauti inayokuzingira kwa namna ya ukweli usio bayana.
Dolby Surround
Ukiweka menyu ya Dolby Surround kuwa Imewashwa, maudhui ya kawaida (Maudhui yasiyo ya Dolby Atmos) yanaweza kuongeza athari za Dolby Surround, (Sawa na Dolby Atmos).
Ili ufurahie sauti ya mzunguko wa pande tatu katika maudhui ya kawaida (Maudhui yasiyo ya Dolby Atmos), washa Dolby Surround.
Kumbuka kwamba Dolby Atmos lazima iwashe ili utumie kipengele cha Dolby Surround.
Kisawazishi
Unaweza kuweka sauti unayoipendelea kwa kurekebisha kisawazishi sauti moja kwa moja.
(100Hz / 300Hz / 1kHz / 3kHz / 10kHz)
Weka upya
Unaweza kuweka upya mipangilio ya athari za sauti.
DTS Virtual:X / Zingira Jumla wa Pepe / Zingira la ULTRA / OLED Surround, na Kisawazishi, Weka upya zinapatikana tu wakati Modi ya Sauti imewekwa kuwa Kawaida.
Vipengee vya kusanidiwa hutofautiana kutegemea modeli.