Kuchagua Modi ya Sauti
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Sauti Mipangilio ya Modi ya Sauti Modi ya Sauti
Kawaida
Huboresha sauti kwa kila aina ya maudhui.
Sinema
Huboresha sauti ya sinema.
Sauti Wazi III
Huimarisha ubora wa sauti.
Spoti / Soka / Kriketi
Boresha sauti ili ifae michezo.
Muziki
Huboresha sauti ya muziki.
Mchezo
Huboresha sauti ya michezo.
Vipengee vya kusanidiwa hutofautiana kutegemea modeli na nchi.