Kucheza sauti kwa kutumia spika zilizoumbiwa ndani ya televisheni
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Sauti Zao la Sauti Spika ya Ndani ya TV
Sauti huchezwa kupitia spika za televisheni zilizoumbiwa ndani.
Kuunganisha na Kutumia Vifaa vya Kukipa Nguvu Zaidi Kifaa cha Sauti Ya macho
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Sauti Zao la Sauti Ya macho
Unaweza kuunganisha kifaa cha sauti ambacho hutumia tundu la Ya macho la kutoa sauti la darubini ya kidijitali ili ufurahie sauti ya televisheni yako iliyo bora na kwa viwango unavyotaka.
Inapatikana tu kwa modeli zilizo na tundu la darubini ya kidijitali.
Unaweza kutumia kidhibiti cha mbali cha televisheni kurekebisha sauti ya kifaa kilichounganishwa.
Kusikia Sauti kupitia Kifaa cha Sauti cha Nje kupitia Lango la HDMI (ARC)
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Sauti Zao la Sauti HDMI ARC
Sauti kutoka TV inaweza kutolewa kupitia kifaa cha sauti cha nje kilichounganishwa kupitia lango la HDMI (ARC).
Chagua HDMI ARC iliuwashe SIMPLINK kiotomatiki. Baada ya SIMPLINK kuzimwa, mipangilio ya spika za kutoa sauti itarejeshwa kiotomatiki kuwa mipangilio chaguomsingi ili kuwezesha utoaji sauti bila kukatizwa.
Kusanidi mipangilio ya sauti kidijitali
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Sauti Zao la Sauti Ya macho / HDMI ARC Zao la Sauti ya Kidijitali
Unaweza kusanidi mipngilio ya Zao la Sauti ya Kidijitali.
Mipangilio hii inapatikana tu wakati ambapo Ya macho / HDMI ARC imechaguliwa.
Kusanidi mipangilio ya sauti kidijitali
Ingizo la Sauti Utoaji Sauti wa Kidijitali
Oto MPEG PCM
Dolby Digital Dolby Digital
Dolby Digital Plus / Atmos (Optical) Dolby Digital
(HDMI ARC) Dolby Digital Plus / Atmos
HE-AAC Dolby Digital
DTS DTS / PCM
DTS Express DTS / PCM
DTS-HD MA PCM / DTS
PCM Zote PCM
Kuunganisha na Kutumia Kifaa cha Sauti Bila Kutumia Nyaya.
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Sauti Zao la Sauti Bluetooth
Unaweza kuunganisha kifaa cha sauti cha Bluetooth au kifaa cha kichwa bila kutumia nyaya ili ufurahie sauti ya televisheni yako iliyo bora na kwa viwango unavyotaka.
Ikiwa hivi karibuni umeunganisha na kifaa ambacho upau wa sauti hutumia LG Sound Sync, kipengee hiki hujaribu kuunganisha na kifaa hicho kiotomatiki.
Katika baadhi ya vifaa, kipengee hiki hujaribu kuunganisha kiotomatiki na kifaa kilichokuwa kimeunganishwa hivi karibuni wakati televisheni inapowashwa.
Tunapendekeza uunganishe kifaa cha sauti cha LG ambacho hutumia LG Sound Sync, kwa kutumia hali ya LG TV au hali ya LG Sound Sync kwenye kifaa.
Kipengee hiki kinapatikana katika baadhi ya modeli pekee.
Bonyeza Uteuzi wa Kifaa ili uone vifaa vilivyounganishwa au vifaa vingine vyovyote ambavyo vinaweza kuunganishwa na uunganishe kwa moja ya vifaa hivyo.
Unaweza kutumia kiungambali cha runinga kurekebisha sauti inayotoka kwenye vifaa vya Bluetooth.
Kama kifaa kitashindwa kuunganisha, angalia uwezo wa kifaa kuunganisha na uangalie pia kama kifaa cha kutoa sauti kinafanya kazi vizuri.
Kutegemea aina ya kifaa cha Bluetooth, kifaa kinaweza kushindwa kuunganisha kwa njia nzuri au kikatenda kwa njia isiyo ya kawaida kama vile kuwa na video na sauti zisizolandanishwa.
Sauti inaweza kugogota au ubora wake ukapungua ikiwa:
  • kifaa cha Bluetooth kiko mbali sana na televisheni;
  • kuna vizingiti kati ya kifaa cha Bluetooth na televisheni; au
  • Inayotumika pamoja na vifaa vya redio kama vile jiko la maikrowevu au LAN isiyotumia nyaya.
Ikiwa Modi ya Picha imewekwa kuwa Mchezo naZao la Sauti imewekwa kuwa Bluetooth, Modi ya Picha itabadilika kwua Kawaida.
Kutumia Zao la Sauti (Zao la mstari) / Vifaa vya sauti vya waya
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Sauti Zao la Sauti Zao la Sauti (Zao la mstari) / Vifaa vya sauti vya waya
Chagua Vifaa vya sauti vya waya au Zao la Sauti (Zao la mstari) ili kufanya sauti inayotolewa kuwa bora zaidi kulingana na kifaa kilichounganishwa.
Baadhi ya vifaa vinaweza kutumia utendaji wa Vifaa vya sauti vya waya pekee.
Kama utaunganisha na vifaa vya kichwa vinavyotumia nyaya wakati ambapo televisheni imewashwa, televisheni hutambua kiotomatiki vifaa hivyo vya kichwa na kuanza kutoa sauti kuvipitia.
Kipengee hiki kinapatikana katika baadhi ya modeli au katika baadhi ya nchi pekee.
Kucheza sauti kwa kutumia spika zilizoumbiwa ndani ya televisheni na vifaa vya kutoa sauti ambavyo viko kando kwa wakati sawa.
Sauti inaweza kuchezwa kupitia vifaa vingi kwa wakati mmoja.
Kutumia Spika ya Ndani ya TV + Vifaa vya Sauti vilivyo na waya
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Sauti Zao la Sauti Spika ya Ndani ya TV + Vifaa vya Sauti vilivyo na waya
Sauti huchezwa kupitia spika za televisheni ziliumbiwa ndani na Vifaa vya sauti vya waya kwa wakati mmoja.
Kama utaunganisha na vifaa vya kichwa vinavyotumia nyaya wakati ambapo televisheni imewashwa, televisheni hutambua kiotomatiki vifaa hivyo vya kichwa na kuanza kutoa sauti kuvipitia.
Kipengee hiki kinapatikana katika baadhi ya modeli au katika baadhi ya nchi pekee.
Kutumia Spika ya Ndani ya TV + Optical
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Sauti Zao la Sauti Spika ya Ndani ya TV + Optical
Sauti huchezwa kupitia spika zilizojengewa ndani ya televisheni na kifaa cha kutoa sauti kilichounganishwa kwenye tundu la sauti la kidijitari kwa wakati mmoja.