Kufanya Majaribio ya Sauti
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Sauti Jaribio la Sauti
Anzisha Majaribio ya Sauti ili kuhakikisha kuwa sauti inayotoka ni ya kawaida, kisha uchague ikiwa kuna hitilafu.
Kama hakuna matatizo yoyote katika majaribio, angalia kifaa kilichounganishwa kando au ishara ya matangazo.
Majaribio ya sauti yanawezekana kupitia spika zilizoumbiwa ndani ya televisheni pekee.