Mwongozo wa Mtumiaji
Kwa maelezo kuhusu kila kipengee kilicho katika televisheni ya LG webOS TV, soma Mwongozo wa Mtumiaji inayopatikana kwenye televisheni.
Ukibonyeza
katika upande wa juu wa kulia kwenye skrini, utaonyeshwa mwongozo mfupi wa jinsi ya kutumia.
Ikiwa skrini ya ufafanuzi wa kipengele cha Mwongozo wa Mtumiaji ina
, bofya
ili uende katika kipengele au mipangilio husika moja kwa moja.
Rangi ya maandishi katika Mwongozo wa Mtumiaji hutumiwa kuonyesha yafuatayo:
Ukibonyeza
katika upande wa juu wa kulia kwenye skrini, utaonyeshwa mwongozo mfupi wa jinsi ya kutumia.
Ikiwa skrini ya ufafanuzi wa kipengele cha Mwongozo wa Mtumiaji ina
Rangi ya maandishi katika Mwongozo wa Mtumiaji hutumiwa kuonyesha yafuatayo:
- Nyekundu : majina ya vitufe vilivyo kwenye kithibiti cha mbali.
- ■ Manjano : vitufe na maandishi yatakayoonyeshwa kwenye skrini ya televisheni.
- ■ Kijani Kibichi : majina ya viunganishi vya ingizo za televisheni.
Picha na maelezo yaliyo katika Mwongozo wa Mtumiaji zinaweza kutofautiana kutegemea modeli na mazingira ya kufanyia kazi.
Mtungamano wa bidhaa zinaweza kubadilishwa pasi na notisi ya awali kutokana na utendaji wa sasisho za bidhaa.