Matatizo ya Sauti
Kama utakumbana na mojawapo ya matatizo yaliyoorodheshwa hapa chini wakati unapotumia bidhaa, tafadhali angalia vitu vifuatavyo. Huenda bidhaa haina tatizo lolote.
Kwanza kabisa tekeleza MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Sauti Jaribio la Sauti ili kuangalia ikiwa kuna utenda-kazi wa televisheni usio wa kawaida.
Kama unatumia kisanduku cha settop box, kizime, halafu ukiwashe tena.
Hakikisha kwamba kisanduku cha set-top box kimeunganishwa vizuri kwenye televisheni yako.
Skrini iko sawa lakini hakuna sauti inayotoka.
Jaribu idhaa nyingine.
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Sauti Zao la Sauti
Angalia ikiwa Zao la Sauti imewekwa kuwa Spika ya Ndani ya TV + Optical au Spika ya Ndani ya TV.
Kama unatumia kisanduku cha set-top box, hakutakuwa na sauti ikiwa umeweka ukubwa wa sauti ya kisanduku cha set-top box au 0 au hata Nyamazisha kwenye televisheni yako. Weka ukubwa wa sauti katika kiwango kinachofaa.
Hakuna sauti inayotoka kwenye mojawapo ya spika.
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Sauti Mipangilio ya Modi ya Sauti Usawa
Rekebisha usawazishaji kama inavyohitajika kwa kutumia kitufe cha Uabiri Usawa.
Unapounganisha kwa AV IN / COMPONENT IN, angalia ikiwa kebo za sauti za kushoto / kulia (nyeupe / nyekundu) zimeunganishwa vizuri. (Matundu ya AV IN / COMPONENT IN yanapatikana katika baadhi ya aina ya modeli tu.)
Sauti ya televisheni hailandanishi na picha, au sauti inakatikakatika.
Kama hili litatendeka kwa baadhi ya idhaa tu, inaweza kuwa imesababishwa na ishara ya uwasilishaji matangazo ya kampuni inayoyawasilisha. Tafadhali muulize mtoa huduma wako wa utangazaji (unaotumianyaya / kebo) akuangalilie tatizo li wapi.
Kama idhaa zote hazilandanishi, enda kwa MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Sauti Urekebishaji wa Ulandanishi wa AV na urekebishe ulandanishaji.
Ikiwa unatumia kisanduku cha dekoda, wasiliana na mtengenezaji wake.
Ukubwa wa sauti unabadilika ninapobadilisha idhaa.
Sauti katika uwasiliniaji wa matangazo ya vituo vya utangazaji inatofautiana.
MWANZOMWANZO Aikoni ya MipangilioAikoni ya Mipangilio Aikoni ya Mipangilio yoteAikoni ya Mipangilio yote Sauti Modi ya Sauti Sauti Kioto
Weka Sauti Kioto kuwa Imewashwa.
Ikiwa unatumia kisanduku cha dekoda, wasiliana na mtengenezaji wake.
Sauti haitoki au ni muziki wa mandharinyuma unaochezwa katika baadhi ya vipindi.
(Vipindi vinavyotolewa na kampuni za utangazaji kwa lengo la kuuzwa nje.)
Kigurudumu (OK) Lugha ya sautiLugha ya sauti
Weka lugha unayoipendelea katika Lugha ya Sauti.