Kucheza Sauti kutoka kwenye Kifaa Mahiri kupitia Spika za Runinga
Unganisha kifaa mahiri kwenye runinga ukitumia Bluetooth ili ucheze sauti kutoka kwenye kifaa mahiri kwenye spika za runinga.
  1. Bonyeza kitufe cha MWANZOMWANZO katika kidhibiti cha mbali.
  2. Inaanzisha Bluetooth Audio Playback.
  3. Washa Bluetooth ya kifaa chako mahiri, kisha uteue runinga yako kwenye orodha ya vifaa.
  4. Runinga itaunganishwa kwenye kifaa mahiri.