Kutumia hali ya Kushangilia
Hali ya kushangilia ni kipengee ambacho hucheza sauti iliyoandaliwa au uhaishaji unapobonyeza kitufe kwenye kidhibiti cha mbali.
Bonyeza na ushikilie kitufe cha
kilicho kwenye kidhibiti cha mbali unapotazama televisheni.
Bonyeza na ushikilie kitufe cha
kilicho kwenye kidhibiti cha mbali unapotazama televisheni.
- Mwongozo wa sauti iliyoandaliwa na uhuishaji.
- Maliza hali ya Kushangilia.
- Ficha maelezo.
Kipengee hiki kinapatikana katika baadhi ya nchi pekee.
Wakati ambapo Hali ya Kushangilia imewashwa, baadhi ya vipengee visifanye kazi kama vile Menyu Hai, bango la vipindi n.k.
Kitufe cha Idhaa kikibonyezwa, Modi ya Kushangilia huzimika.