Kukuza Onyesho la TV
Kwa kukuza kionyesho cha TV, unaweza kuangalia picha kwa kiwango kikubwa zaidi ya kiwango halisi.
Bonyeza kitufe cha LIVE ZOOM katika kidhibiti chako cha mbali wakati unapotazama televisheni au unapotazama video. Pia unaweza kubonyeza kitufe cha ANZA LIVE ZOOM katika kna ya chini kulia ya skrini.

Kuza Skrini ya Kipindi KinachoendeleaKuza Skrini ya Kipindi Kinachoendelea

  1. Skrini asili kabla ya kupanuliwa itaoneshwa kwenye skrini ndogo.
  2. Hii inaonesha sehemu iliyopanuliwa ambayo inaonekana kwenye skrini kuu.
  3. Unaweza kukuza zaidi au kufifiza kwenye skrini kuu ukitumia upau wa kupanua.
    Unaweza kurekebisha upanuaji wa picha kwa kugusa gusa kitufe cha Kigurudumu (OK) kwenye Kidhibiti cha Mbali Mahiri.
  4. Unaweza kuficha skrini ndogo.
  5. Unaweza kunasa taswira ya skrini unayotazama sasa.
    Unaweza kuona picha zilizopigwa kwenye Picha & Video programu ya.
  6. Unaweza kusimamisha au kuendelea katika skrini unayotazama sasa.
    Ukitekeleza kipengele cha rudi uendelee huku ukitazama matangazo, utaona skrini ya sasa ya matangazo.
  7. Unaweza kuonyesha upau wa maendeleo.
    Inafanya kazi na video zilizo na upau wa maendeleo pekee.
  8. Unaweza kuanza kurekodi kwa kukuza ndani video iliyo katika hifadhi ya USB.
    Kwa maelezo zaidi, angalia Manufaa ya TV Inayoweza Kuunganishwa kwenye Intaneti Kurekodi Zoom katika Mwongozo wa Mtumiaji.
    Kipengee hiki kinapatikana katika baadhi ya modeli pekee.
    Kipengee hiki kinaweza kutumiwa tu na Kidhibiti Mbali Mahiri.
  9. Zima utandaji huu kisha urejee kwenye skrini asili.
Ili kuondoa kipengele hicho na kurudi kwenye skrini asili, bonyeza LIVE ZOOM au BACK.
Ukibadilisha kituo au uendeshe programu nyingine kwenye skrini iliyopanuliwa, kipengele hiki kitafungwa.
Kipengele hiki kinatumika tu kwa utangazaji dijitali, picha zilizo katika programu ya Picha & Video, rekodi zilizo katika programu ya Rekodi (inayopatikana tu katika baadhi ya nchi) au hali za kuingiza za HDMI.
Kusogeza Sehemu ya skrini iliyopanuliwa
Mbinu ya 1. Kwenye skrini kuu, sogeza kielekezi kwenye Kidhibiti Mbali Mahiri hadi kwenye sehemu unayotaka na ubonyeze Kigurudumu (OK) kitufe cha.
Sehemu utakayochagua itasonga hadi katikati mwa skrini.

Kagua mahali unavyotaka kwenye skrini kuuKagua mahali unavyotaka kwenye skrini kuu


Mbinu ya 2. Kokota skrini kuu kwa kutumia kiashiria cha Kidhibiti Mbali Mahiri hadi unapotaka.

Kokota Skrini KuuKokota Skrini Kuu


Mbinu ya 3. Kwenye skrini ndogo, chagua sehemu unayotaka kupanua ukitumia Kidhibiti Mbali Mahiri.

Kagua mahali unavyotaka kwenye skrini kuuKagua mahali unavyotaka kwenye skrini kuu


Mbinu ya 4. Ukitumia kielekezi kwenye Kidhibiti Mbali Mahiri, vuruta sehemu iliyopanuliwa kwenye skrini ndogo hadi kwenye sehemu unayotaka.

Buruta skrini ndogoBuruta skrini ndogo

Pia unaweza kusogeza skrini ukitumia vitufe vya JuuJuu / ChiniChini / KushotoKushoto / KuliaKulia kwenye kioyeshi chako cha mbali.