Kutumia Kivinjari cha Tovuti
Unaweza kuingiza tovuti wakati unapoingiza anwani ya wavuti katika upau wa URL.
Ukiingiza neno la kutafuta, itatafuta maelezo kuhusu neno hilo la kutafuta kutegemea injini ya utafutaji.
Ukiingiza neno la kutafuta, itatafuta maelezo kuhusu neno hilo la kutafuta kutegemea injini ya utafutaji.
-
Bonyeza kitufe cha
katika kidhibiti cha mbali.
- Endesha Kivinjari cha Tovuti programu ya.
-
Unaweza kuongeza ukurasa wa sasa kwenye skrini ya Mwanzo, au uongeze au ufute ukurasa wa sasa katika Alamisho.
(Ukurasa ulioongezwa kwenye skrini ya mwanzo unaweza kufutwa tu katika skrini ya mwanzo. Katika hali hii, haufutwi kutoka Alamisho.) - Hupakia upya ukurasa wa sasa.
- Unaweza kuwasha / kuzima televisheni Ndogo.
- Hukuza ndani na nje ya skrini.
-
Historia
:
Unaweza kufungua au kufuta orodha ya historia.
Alamisho : Unaweza kufungua au kufuta orodha ya alamisho.
Mipangilio : Unaweza kusanidi mipangilio miepesi ya kivinjari.
Inasimba : Unaweza kubadilisha lugha wakati ambapo maudhui hayaonyeshwi vizuri katika ukurasa wa wavuti. -
Unaweza kutumia kivinjari katika modi ya skrini nzima.
Ili kurudi katika skrini ya awali, tumia Kidhibiti cha Mbali kusogeza kiashiria juu ya skrini. Ondoka kwenye Skrini Nzima itaonyesha. - Funga Kivinjari cha Tovuti.
-
Tovuti Zilizopendekezwa na Tovuti Zilizotembelewa Sana zitaonyeshwa kwenye kichupo mpya.
Huenda Tovuti Zilizopendekezwa hazipatikani katika nchi yako.
Ili kuficha Tovuti Zilizopendekezwa, chagua Imezimwa katika Mipangilio.
Kivinjari cha Tovuti hutumia tu midia ya HTML5, haitumii kipengee cha Kuingiza Flashi.
Kivinjari cha Tovuti haitumii usanikishaji wa kungiza vifaa.
Katika Kivinjari cha Tovuti, huenda isiwezekane kucheza faili za midia zilizo katika maumbizo yasiyokuwa
: JPEG / PNG / GIF
: JPEG / PNG / GIF
Kivinjari cha Tovuti inaweza kufungwa ikiwa hakuna ya kumbukumbu ya kutosha.
Katika Kivinjari cha Tovuti, ni fonti zilizo kwenye televisheni ambazo zinatumika. Kwa hivyo maandishi yanaweza kuonyeshwa kwa fonti tofauti n zile zilizo kwenye kompyuta.
Kivinjari cha Tovuti haitumii upakuaji wa faili na fonti.
Kwa vile Kivinjari cha Tovuti ni kivinjari cha televisheni, inaweza kufanya kazi tofauti na vivinjari vya kompyuta.
Kwa kuwa Kivinjari cha Tovuti ni kivinjari cha televisheni, huenda baadhi ya maudhui yasicheze vizuri.
Kuwa mwangalifu wakati ukurasa unapotumiwa na watoto. Watoto waanaweza kufikia maudhui yasiyofaa mtandaoni kupitia bidhaa hii.
Unaweza kuzuia maudhui ya mtandaoni yasiyofaa kwa kudhibiti ufikiaji kwenye baadahi ya programu.
Snidi mipangilio katika
Usalama Makufuli ya Programu.
Unaweza kuzuia maudhui ya mtandaoni yasiyofaa kwa kudhibiti ufikiaji kwenye baadahi ya programu.
Snidi mipangilio katika
Usalama Makufuli ya Programu.
Ili kutatua tatizo linalihusiana na utendaji huu, rejelea sehemu ya Utatuzi ya Mwongozo wa Mtumiaji.
Kuweka Kivinjari cha Tovuti
Bonyeza
juu ya skrini na uchague Mipangilio.
juu ya skrini na uchague Mipangilio.
- Mwanzo
- Unaweza kuweka ukurasa wa kuanzisha kivinjari kuwa Fungua ukurasa wa Kichupo Kipya / Endelea ulipoachia / Ukurasa wa Mwanzo:.
- Mitambo ya Kutafuta
-
Unaweza kuchagua injini ya utafutaji ya chaguo-msingi.
Mipangilio ya mtambo wa utafutaji inaweza kubadilishwa bila ilani kulingana na hali za muuzaji.
- Tovuti Zilizopendekezwa
- Unaweza kubailisha mipangilio ili Tovuti Zilizopendekezwa yaonyeshwe.
- Onyesha Upau wa Alamisho Kila Wakati
- Unaweza kubadilisha mipangilio ili upau wa Alamisho uonekane kila wakati.
- Kuvinjari kwa Faragha
- Unaweza kusanidi mipangilio hii kwamba rekodi haziachwi baada ya utafutaji.
- Kuchuja Tovuti
-
Tovuti Zilizoidhinishwa
:
Unaweza kusanidi mipangilio ili kufungua kurasa zilizosajiliwa hapo awali peke yake.
Tovuti Ziliozuiwa : Unaweza kusanidi mipangilio kuzuia tovuti mahususi.Ili kutumia utendaji wa Kuchuja Tovuti unapaswa kuingiza nywila la televisheni.
Nywila la awali ni “0000”.
Unapochagua nchi ya Ufaransa, nywila halitakuwa “0000” bali “1234”. - Kizuiaji cha Ibukizi
- Unaweza kuzuia dirisha-ibukizi kwa kutumia mipangilio.
- Usifuatilie
- Unaweza kuomba kuwa maelezo yako ya mambo uliyotembelea yasirekodiwe kwenye seva.
- Utiririshaji wa Kubadilika kwa kutumia JavaScript
- Hali hii ikiwekwa kuwa Imezimwa, ubora wa kucheza video za Kivinjari cha Tovuti utakuwa 720p tu.