Mipangilio ya Matumizi ya Umeme
Jumla
Anza Haraka+
Mipangilio hii huiweka runinga katika hali ya kutozimika kabisa unapoizima ili iweze kuwaka haraka wakati ujao unapoiwasha.
Weka Anza Haraka+ kuwa Imewashwa.
Weka Anza Haraka+ kuwa Imewashwa.
Kipengee hiki kinapatikana katika baadhi ya modeli pekee.
Kuwasha chaguo hili kunaweza kuongeza matumizi ya umeme.